Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Mxeeew nakupenda kitofauti muoneee vileeee nitakudelete
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji132][emoji131][emoji1298][emoji176][emoji176][emoji176][emoji177][emoji175][emoji307][emoji179][emoji738][emoji181][emoji94]
 
😂😂😂😂😂aisee nimecheka sana
 
Niende wapi tenaa jaman sijapaelewa si unajua mm nashinda huku mambo mengine ya dunia muwe mnanitag
 
Anastahili na bebi face yake! Najua mtaa wa pili walikuwa wanasubiri kwa hamu reply yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh ulijuajeee yani nimekomeshwaa nikasema wasilolijua sawa na usiku wa gizaa mm sina ubavu wa kukuacha jaman agrrrr

Wasome vizur maudhui ya uzii na onyo nikatoa lakin wapiii asante hun Jr.
 
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji132][emoji131][emoji1298][emoji176][emoji176][emoji176][emoji177][emoji175][emoji307][emoji179][emoji738][emoji181][emoji94]
Asanteee
 
Hahahahh ina ugumu gani wakati kuna mijitu majina yao akitamka mjamziti mimba yake inatoka
Hahahahahahah uuuh alafu wewe ni mhenga jf jaman hujatajwa huu ni uonevuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…