Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji132][emoji131][emoji1298][emoji176][emoji176][emoji176][emoji177][emoji175][emoji307][emoji179][emoji738][emoji181][emoji94]Mxeeew nakupenda kitofauti muoneee vileeee nitakudelete
😂😂😂😂😂aisee nimecheka sanaSiamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Niende wapi tenaa jaman sijapaelewa si unajua mm nashinda huku mambo mengine ya dunia muwe mnanitagAhsante sana, ahsante sana.
Mi sina mashauzi (nikiwa kwenye mood ya kutokuwa na mashauzi) na nazidisha upendo zaidi nikitembelea mitaa ya huku.
Ila mitaa yetu ya jioni kisomo ni ubishi wa Kamikaze na Jiu-Jitsu moves kwenda mbele.
Get together December utaenda?
Eeeeh ulijuajeee yani nimekomeshwaa nikasema wasilolijua sawa na usiku wa gizaa mm sina ubavu wa kukuacha jaman agrrrrAnastahili na bebi face yake! Najua mtaa wa pili walikuwa wanasubiri kwa hamu reply yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya basi tutaambizana zaidi.Niende wapi tenaa jaman sijapaelewa si unajua mm nashinda huku mambo mengine ya dunia muwe mnanitag
Ukija nipe kazi ya u bodyguard utaona njia inafunguka tu.Tutaambizana wapi sasa na mm nikija kwenye anga zenu huwa naishia kupewa makavu naogopa hata kukanyagaaa