Daah,msiwataje aisee,mtatuumiza wengine.Baby tumekatazwa kuwataja wale tunaokumbatiana nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah,msiwataje aisee,mtatuumiza wengine.Baby tumekatazwa kuwataja wale tunaokumbatiana nao.
Mimi mpaka ukurasa wa 80 sijatajea,ila labda nitatajwa ikifika mwisho hukooooo !Wanapita page 2 page[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GG Imetoa,[emoji16]Siamini macho yangu, ivi ni kweli tunguli za mganga zimeanza kupwaya kiasi hichi.....
Ngoja nianze kupiga jeramba maana muda si mrefu naweza kuhongwa mpunga wa kueleweka na huyu mke wa mganga....
Amaa kweli Golden chance never come twice!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kaka mkubwa umeadimika sana aisee...!Ahsante sana, ahsante sana.
Mi sina mashauzi (nikiwa kwenye mood ya kutokuwa na mashauzi) na nazidisha upendo zaidi nikitembelea mitaa ya huku.
Ila mitaa yetu ya jioni kisomo ni ubishi wa Kamikaze na Jiu-Jitsu moves kwenda mbele.
Get together December utaenda?
Kaka mkubwa umeadimika sana aisee...!
Tuko pomoja bro,ila nahuzunika sijatajwa mpaka muda huu !Ndugu yangu wee.
Nafanikisha miradi fulani ya biashara ndogondogo mjini kwa wadogo zangu hapo mambo yaende vyema.
Kaka mkubwa akisikia vyuma vinabana mjini inamuuma sana inabidi aweke grisi kidogo watu wapate urahisi.
Sasa ukiniona kimya sana ndo nachakalika na shughuli mara nyingine.
Maisha mafupi, umuhimu wako unaendana na jinsi utakavyokuwa wa msaada kwa jamii yako.
Ushajitaja mwenyewe sasa, watakuja watakuona.Tuko pomoja bro,ila nahuzunika sijatajwa mpaka muda huu !
Naendelea kufungua kurasa nilikuwa ukurasa wa 82 mpaka sasa bila bila,ila nimeanza kurudi nyuma kuangalia tena kama niliangalia vizuri ukurasa au la !?
Daah,msiwataje aisee,mtatuumiza wengine.
Nafsi imetulia sasa !Hatujawataja.
Kuna sehemu nimekuitaHatujawataja.
Usijaribu kujifananisha na mtoto wa kike hata kwa mzaha,si katika tabia zetu sisi wanaume.Aaahhh ngoja basi nitengeneze ID ya kike niwe namimi kwenye nyuzi kama hizi nijipe maujiko mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Daaah !Sijui kumpenda mtu ndo shida yangu
Sawa bhanaUna gunduuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo upo kiwanja kipi[emoji41]Sanaaaa yan inajitahid viwanjaaa
Nitaje hata mie japo kamoyo karidhikeNaogopa nisije nikataja wa mtu nikaanza kununiwa
Wabaya sana hawa wa hivi ujue, kamejikausha na kulalamika juu. Kumbe kanajua anayoyafanya mafichoni.
Ni umri tu ndo haujaniruhusu kuimwaga hadharani. I'm turning 18 next month!