Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe jamani my love!!??Hakunaaaa
Ndo umeanza kulia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Usinifanyie hivo plz,ujue nakulove tu bure.Au kwakuwa.............Nilkusahau ujue loooh hii tabia mbaya sjui nimeanza lini
Nitamalizia siku ingine banaa.Ila usinisahau sn.Mtu anayekupenda huwa ni muhimu snMalizia tu mbn.......
Poa...!Sikujua kama wewe ni ME.
(Jina lako)
Nilitaka kusema jambo juu ya kauli yako hii. Ila nakausha.Shemale at work unatafuta mates nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa hunielewi nini mrembo ? Siku nyingine usiwe una angalia jina bali angalia nani ana andika nini.Sikujua kama wewe ni ME.
(Jina lako)
Nimekuelewa na mimi siko huko...!Usje nifikiria vibaya nimemqoute cultural girl
Vizuri !Ubarikiweeee
[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]Njoo chukua
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji26][emoji21]Njoo kwanza uzimue upate nguvuView attachment 869457
Sasa unanielewa kule kwenye gambe mkuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji26][emoji21]