Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

GG Imetoa,[emoji16]
 
Kaka mkubwa umeadimika sana aisee...!
 
Kaka mkubwa umeadimika sana aisee...!

Ndugu yangu wee.

Nafanikisha miradi fulani ya biashara ndogondogo mjini kwa wadogo zangu hapo mambo yaende vyema.

Kaka mkubwa akisikia vyuma vinabana mjini inamuuma sana inabidi aweke grisi japo kidogo kwa ubishi ubishi watu wapate urahisi.

Sasa ukiniona kimya sana ndo nachakalika na shughuli mara nyingine.

Maisha mafupi, umuhimu wako unaendana na jinsi utakavyokuwa wa msaada kwa jamii yako.
 
Tuko pomoja bro,ila nahuzunika sijatajwa mpaka muda huu !

Naendelea kufungua kurasa nilikuwa ukurasa wa 82 mpaka sasa bila bila,ila nimeanza kurudi nyuma kuangalia tena kama niliangalia vizuri ukurasa au la !?
 
Tuko pomoja bro,ila nahuzunika sijatajwa mpaka muda huu !

Naendelea kufungua kurasa nilikuwa ukurasa wa 82 mpaka sasa bila bila,ila nimeanza kurudi nyuma kuangalia tena kama niliangalia vizuri ukurasa au la !?
Ushajitaja mwenyewe sasa, watakuja watakuona.

Zile juhudi zako za PM inaonekana bure tu kumbe.
 
Aaahhh ngoja basi nitengeneze ID ya kike niwe namimi kwenye nyuzi kama hizi nijipe maujiko mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Usijaribu kujifananisha na mtoto wa kike hata kwa mzaha,si katika tabia zetu sisi wanaume.

Piga moyo konde ,tuungane katika kusoma maoni ya wapenda nao humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…