sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Yule alipuyangaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule alipuyangaaa
Mwaaàaaa jaman yani itakuwa natembelea kanyota ka mgangaaaa1. Nikiingia tu kwenye uzi wako nakutana na Back ground ya bluu ikikuzwa na kitop matata kilichoshikilia mtindi mzito gram 300 chini kukiwa na urefu wa kitovu muruwaaaaa.. Suruari nyeusi iliyobana vilivyo kuonyesha namba nane iliyoshiba unono ni utambulisho thabiti wa chamdeko's avatar .
2. Uzi wako unadakwa mapema na kushambuliwa kama mpira wa kona...kigori Wewe ukidaka murua mashambulizi yao ndani Ya sekunde chache. Huyu ni Mrs Jr mwenyewee[emoji2]
3. Mahaba, malovedove, Kunjunjana na mtifuo wa huba havikupiti Mama chamdeko. Yaani chochote kuhusu hivi vinne unatumalizaga kwa kweli... You always locked the road.
4. I knew it's youuu... Ukiona nimecoment hiviii ujue cjaangalia lakini nakisia utakuwa wewe tuu mtawala mchezo....yes is you,it's youu, suree you Will be youuuuuhhhh oooohhhh!!! Mama Mganga.
5. Mwisho kabisaaa them ya post zako, tittle na ongezeko LA comments kila baada Ya sekunde. Angalia hii nmecoment kwenye page ya 27. Nilipoivuta nkajikuta naangukia page 28 aiseee Wewe ni wewe tuuuuu
Mrs. Sangoma herself mwaaaahhhhhhh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuonaaa
Yupo kitoroAmefika wapii?
Hahaaaaaa hii Code ngumu kama ya Nyampua [emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau kurud anayetafutwaa anakaribia kujaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]codes
hapa nimeona koloni limekufa inatafutwa nchi nyingine, demiss kichaa kweli kweli
Naomba Hedex [emoji28][emoji28][emoji28]Ngumu kumezaaa lazima kichwaa iumeeew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri wazee waje wakuhonge tuNihonge bhn hutak kunihonga mm mtoto mzuriii