Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

1. Nikiingia tu kwenye uzi wako nakutana na Back ground ya bluu ikikuzwa na kitop matata kilichoshikilia mtindi mzito gram 300 chini kukiwa na urefu wa kitovu muruwaaaaa.. Suruari nyeusi iliyobana vilivyo kuonyesha namba nane iliyoshiba unono ni utambulisho thabiti wa chamdeko's avatar .


2. Uzi wako unadakwa mapema na kushambuliwa kama mpira wa kona...kigori Wewe ukidaka murua mashambulizi yao ndani Ya sekunde chache. Huyu ni Mrs Jr mwenyewee[emoji2]

3. Mahaba, malovedove, Kunjunjana na mtifuo wa huba havikupiti Mama chamdeko. Yaani chochote kuhusu hivi vinne unatumalizaga kwa kweli... You always locked the road.

4. I knew it's youuu... Ukiona nimecoment hiviii ujue cjaangalia lakini nakisia utakuwa wewe tuu mtawala mchezo....yes is you,it's youu, suree you Will be youuuuuhhhh oooohhhh!!! Mama Mganga.

5. Mwisho kabisaaa them ya post zako, tittle na ongezeko LA comments kila baada Ya sekunde. Angalia hii nmecoment kwenye page ya 27. Nilipoivuta nkajikuta naangukia page 28 aiseee Wewe ni wewe tuuuuu

Mrs. Sangoma herself mwaaaahhhhhhh.
Mwaaàaaa jaman yani itakuwa natembelea kanyota ka mgangaaaa
 
Back
Top Bottom