Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahh !! Pale karibu na zilipokuwa traffic light ? Kweli wewe unamfahamu viwanja.. [emoji851][emoji851]. Kuna jamaa yangu pale Dom ameshanipeleka mara nyingiKabisaa lazima uombe ruhusa jana nilipita kiwanja kipya malaika annex
Shem mbona nipo sana wewe ndio umefichwa na jr.Shem darling nakusaka kitambo sana alafu siyo fair nakwambia akii shem
usinicheke npe japo kamoyoHahahah
Niko nashangaa wenye bahati zao za kupendwa!MOTP sisimizi huyo anaingia jichoni.
huu uzi ulikuwa mzuri wachangie ke tu nyie muwe wasomaji!na ingebidi utoe sabab pia!lakin badala yake wanaume wanalilia kutajwa!hauna tena ladhaHuu uzi unakimbia sana ila nashangaa waliotajana ni wachache sana kulikoni
huu uzi ulikuwa mzuri wachangie ke tu nyie muwe wasomaji!na ingebidi utoe sabab pia!lakin badala yake wanaume wanalilia kutajwa!hauna tena ladha
hahahaha unawasapot bila ht pesa? lolTunawasupport Ke wasije wakajisikia vibaya
Niko nashangaa wenye bahati zao za kupendwa!
Nina nyota ya bundi.Kwani wewe haupendwi?