edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Hata wewe hunipendiSubiri anayekupenda anakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe hunipendiSubiri anayekupenda anakuja
Eeee ndo manakehahahahahaha tunakuja na motooooo hatar alafu tunafunga pm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio yalipozaliwaNavuta picha mauno kama yoteeee
Unadhani nitatajwa kweli kama umeanza kunipa skendo kama hizo?Poleee mbn unaanza kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unayapenda? Me katekista.Ongezaaa neno "loooo"
Soon nitaanza kufuata nyendo za Deo Kisandu.
I should confuse the enemy!
Sitaki mtu ambae hana chura kama wewe aje kwenye msiba wangu please!!Mm nitakuwa msemaji wa msiba wakooo
Rafiki umeniokoa kwa sababu leo nilikuwa nijinyonge kama nisingependwa hapa!
Hata sifahamu, mimi hua ni die hard fan wa yule jamaa!Hivi aliendaga wapi jamani!!