Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Ulikuwa hunielewi nini mrembo ? Siku nyingine usiwe una angalia jina bali angalia nani ana andika nini.

Wanaume tuna lugha zetu...! Hata mtoto wa kike aige vipi hawezi kuwa sisi.
Nimekupata vizuri Brodha.... peace and love.
 
Back
Top Bottom