Member wanaongoza kwa kuwa weupe kwenye maswala ya mpira wa miguu.

Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024.
1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi uliopitiliza kwa timu yake
2) Sayville. Huyu mzee wa kujitoa akili na ufahamu na hajui kujibu anachoulizwa.
3) Cashman, Dully Jr hawa hawachelewi kupaniki na kutoa lugha chafu kama wakizidiwa hoja.

Hapa nimezungumzia kwenye jukwaa hili la michezo, inawezekana labda kwenye majukwaa mengine kama siasa, n.k wakawa ni wapo vizuri tu.

Taja member wengine ili wabadilike mwaka mpya panapo majaliwa.

JF Sport, isimame katika jukwaa bora na makini.
Sio kweli mkuu.. mpira naujua sana..hapa jf watu wanatusua betting Kwa msaada wangu
 
Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024.
1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi uliopitiliza kwa timu yake
2) Sayville. Huyu mzee wa kujitoa akili na ufahamu na hajui kujibu anachoulizwa.
3) Cashman, Dully Jr hawa hawachelewi kupaniki na kutoa lugha chafu kama wakizidiwa hoja.

Hapa nimezungumzia kwenye jukwaa hili la michezo, inawezekana labda kwenye majukwaa mengine kama siasa, n.k wakawa ni wapo vizuri tu.

Taja member wengine ili wabadilike mwaka mpya panapo majaliwa.

JF Sport, isimame katika jukwaa bora na makini.
Hiyo list imekuwa fake baada ya kukosekana kwa Tate Mkuu na NALIA NGWENA hawa weupe kabisa....
 
Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024.
1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi uliopitiliza kwa timu yake
2) Sayville. Huyu mzee wa kujitoa akili na ufahamu na hajui kujibu anachoulizwa.
3) Cashman, Dully Jr hawa hawachelewi kupaniki na kutoa lugha chafu kama wakizidiwa hoja.

Hapa nimezungumzia kwenye jukwaa hili la michezo, inawezekana labda kwenye majukwaa mengine kama siasa, n.k wakawa ni wapo vizuri tu.

Taja member wengine ili wabadilike mwaka mpya panapo majaliwa.

JF Sport, isimame katika jukwaa bora na makini.
Utoto raha sana
 
Nadhani kuna ile kanuni ukiutemea mate upepo yatarudi usoni kwako,kama ulijaribu kufanya hivyo,basi utaulaumu upepo?
 
Hata ww mwenyewe mweupe tu,naona hujajiweka kwa list
 
Watu wa mpira wapo wachache sana nimeona wanasiasa wamevamia huku na matusi yao hakuna wanachojua...
 
Back
Top Bottom