The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kucheka ni kufurahi,ni kuridhika na maisha uliyonayo no matter what,huwezi kucheka huku una njaa 😀Meshakuja mamii, hivi kucheka ni kosa hapa nchini? Yani sielewi kwanini kucheka kwangu inakuwa kero kwa mtu mwengine. Can you atleast explain it to me?
Mleta mada asaidiwe kisaikolojia coz anajipa kazi ya kutaka kucontrol hisia za watu kitu ambacho hakiwezekani,Mkuu asikupangie mtu jinsi yakuishi,live ur life.