Member wapenda kucheka ninaowajua ndani ya JF

Meshakuja mamii, hivi kucheka ni kosa hapa nchini? Yani sielewi kwanini kucheka kwangu inakuwa kero kwa mtu mwengine. Can you atleast explain it to me?
Kucheka ni kufurahi,ni kuridhika na maisha uliyonayo no matter what,huwezi kucheka huku una njaa 😀
Mleta mada asaidiwe kisaikolojia coz anajipa kazi ya kutaka kucontrol hisia za watu kitu ambacho hakiwezekani,Mkuu asikupangie mtu jinsi yakuishi,live ur life.
 
Naona maisha yako yamekuwa magumu sana kiasi kwamba umeamua kufuatilia ya wenzio mkuu 😂😂😂!!!
Hii mada ya leo najua lazima ucheke maana inaruhusu wewe kucheka,silaumu ukicheka sehemu zinazohitaji kucheka ni haki yako kikatiba,ila kucheka sehemu watu wanaomboleza au wanadiscuss vitu vya maana unakuja kucheka cheka ndio unaponikera.
 
Kucheka ni kufurahi,ni kuridhika na maisha uliyonayo no matter what,huwezi kucheka huku una njaa 😀
Mleta mada asaidiwe kisaikolojia coz anajipa kazi ya kutaka kucontrol hisia za watu kitu ambacho hakiwezekani,Mkuu asikupangie mtu jinsi yakuishi,live ur life.
we hujawahi mkuta extrovert akikenua wewe kwenye mada hata za kuomboleza,we humjui huyo jamaaa kabisa.
 
Kwani hzo emoj, likes, dislikes zinakusaidia au kukupunguzia nin?

Naongea na wewe mtoa mada.
ukienda msibani penye watu wanaomboleza huzuni kila mahali halafu kuna jamaa moja unalikuta linachana mistari kama lipo studio huwa unajiskiaje ukimuona huyo jamaa akifanya hilo tendo eneo la msiba?
 
Tumeanza kupangiana mpaka kwenye kucheka au kukasirika?
cheka panapohitaji kucheka kukasirika unaweza ukakasirika unavyojiskia ila kitendo cha kucheka cheka sehemu zisizo husika ndio nisipokupenda.

kucheka kuna maana nyingi 1.Kuchekeshwa 2.Dharau ila hawa member nlowataja leo carleen yeye anachekeshwa ndio mana anacheka ila hiii basta raimz yenyewe nadhani inachekaga kwa madharau hapo ndio inaponisimamisha sharubu.

mana hawezi cheka cheka sehemu watu wana discuss point za kujibia hata mtihani wa sup yeye anacheka tu..
 
Kucheka ni kufurahi,ni kuridhika na maisha uliyonayo no matter what,huwezi kucheka huku una njaa 😀
Mleta mada asaidiwe kisaikolojia coz anajipa kazi ya kutaka kucontrol hisia za watu kitu ambacho hakiwezekani,Mkuu asikupangie mtu jinsi yakuishi,live ur life.
Hahahahah mi ni tajiri wa tabasamu mkuu, sasa kwanini nisicheke. Sina ukwasi ila nina amani. This what makes me happy, napenda kuwaambukiza furaha wana jf wenzangu. Kucheka hamna gharama wala kodi! Bandama ni yako na meno ni yako kwahio tufurahi jamani.
 
cheka panapohitaji kucheka kukasirika unaweza ukakasirika unavyojiskia ila kitendo cha kucheka cheka sehemu zisizo husika ndio nisipokupenda.

kucheka kuna maana nyingi 1.Kuchekeshwa 2.Dharau ila hawa member nlowataja leo carleen yeye anachekeshwa ndio mana anacheka ila hiii basta raimz yenyewe nadhani inachekaga kwa madharau hapo ndio inaponisimamisha sharubu.

mana hawezi cheka cheka sehemu watu wana discuss point za kujibia hata mtihani wa sup yeye anacheka tu..
Mkuu unazidi kunichekesha mzee. We unatakiwa usome ufaulu bana. Usikasirike 😝
 
ukienda msibani penye watu wanaomboleza huzuni kila mahali halafu kuna jamaa moja unalikuta linachana mistari kama lipo studio huwa unajiskiaje ukimuona huyo jamaa akifanya hilo tendo eneo la msiba?
Sasa ukija kwetu Moshi watu wanapogombania kreti za bia kwenye msiba si utazimia masta?
 
Mkuu unazidi kunichekesha mzee. We unatakiwa usome ufaulu bana. Usikasirike 😝
huu uzi ukicheka sikasiriki kabisa maana najua ni vitu ambavyo hukuvijua kwahyo umeviskia leo na wewe unavyopenda kucheka najua kucheka lazima,hapa wewe cheka tu mkuu wala sina tatizo.

shida yangu inakujaga kwenye koment/mada zisizohitaji kicheko bwana mkubwa wewe unaporomosha cheko.
 
Hahahah mzee utaniua man na vicheko hihihihiiii 😂😂😂
 
Sasa ukija kwetu Moshi watu wanapogombania kreti za bia kwenye msiba si utazimia masta?
wakiwa wanagombania kret za bia msibani kweli ukute kuna utelezi mtu akadondoka mimi mwenyewe lazima nitacheka,kuna situation kucheka ni lazima huwezi mzuia mtu acheke.

sio yale maswala ya zamani mko class halafu teacher ubaoni anaachia ushuziii unaskika darasa zima halafu anataka kutuzuia tusicheke,mimi bora aniue ila nilikua nacheka haswaa.
 
dis.png

kuna mwamba kashanizawadia Dislike,hawa member hebu niambieni wana mashida gani eti hiii memba sijui ndo ile niliyokua naisemea ya kule kwenye SIASA,mana memba wa lile jukwaa hawanaga reaction ya Like.
 
Mkuu unazidi kunichekesha mzee. We unatakiwa usome ufaulu bana. Usikasirike 😝
leo cheka baba hapa wala sina tatizo,ila najua sina muda mrefu ntakukuta jukwaa la Afya kule mtu kaomba ushauri wa dawa ya kutibu jipu limemuota kwapani,Utacheka.
 
Back
Top Bottom