Member wapenda kucheka ninaowajua ndani ya JF

Ukisha sema "Nadhani" anachekaga kwa dharau unakua umeshakosea,hiyo ni dhana yako ambayo huenda ukawa haupo sahihi,unaposema "Cheka panapostahili kucheka" unakua haupo sawa,Binadamu hatufanani,wewe unaweza kuona jambo fulani halichekeshi ila mwenzako akaona linachekesha,
No one is incharge of your hapiness except you,
Mkuu acha kufuatilia hivi vitu ambavyo ni hisia za watu na zipo out of ur control,unaweza kujikuta upo Milembe na umesha pewa namba na nguo. πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kuna mwanangu aliotewa anacheka back benchaz na ticha mmoja wa Science wakuitwa Mr.Mloka wakati anapiga pindi enzi hio tuko Std7!

Eeh bana Mchizi wetu alitiwa Bao kama la Nyani. Vidole vikabaki shavuni na michaki chaki ile...sikuile nilicheka mpaka machozi yalintoka kila nikiwaza bao alilopigwa mwanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Nkasikia "Kibirige march foward,i'm teaching and you are joking whats funny?" Bwaaaaah mkofi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahahah we unacheka ticha akijamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚??? Ushuzi si science ile
 
mkuu mtoto wa jirani akiharibika mbele yako lawama ni zako.
 
Mkuu SEASON 5 hapa tupo online halaf ni ndan ya JF ambapo tunatumia fake IDs, pamoja na hzo fake IDs usishangae pia humu tuna fake life, hakuna anayemjua mwenzake anafananaje.

Huyo Extrovert usikute anapiga hata miayo hajui atakula nini leo lakini akiwa nyuma ya keyboard anafanya/anaongea anavyojua yeye cuz hakuna anayemfaham.

...halafu mkuu, kwani mbona jina la ID yake linasadifu kabisa reactions zake!? Extroverts ni watu wenye viherehere sana, waongeaji, waongo, wenye masihara na porojo nying sana, hvyo usishangae hvo ndvo alivyo!
 
...halafu mkuu, kwani mbona jina la ID yake linasadifu kabisa reactions zake!? Extroverts ni watu wenye viherehere sana, waongeaji, waongo, wenye masihara na porojo nying sana, hvyo usishangae hvo ndvo alivyo!
asante kwa kunielewesha mkuu
 
Ni kweli mkuu hujakosea. Mi napiga mihayo kichizi now. Sijala toka asubuhi mkuu.😡😡😡 Naomba nisaidie japo buku nikapate chochote kitu masta.
 
Una muda sana mkuu wa kufatilia tabia za members wengine humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…