Member wapenda kucheka ninaowajua ndani ya JF

Nilivyosoma tu kichwa nikajua Extrovert lazima kajadiliwa. Labda ni style yake tu. Ila kama ishu serious huwa anachangia kitu serious pia reaction si ishu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilivyosoma tu kichwa nikajua Extrovert lazima kajadiliwa. Labda ni style yake tu. Ila kama ishu serious huwa anachangia kitu serious pia reaction si ishu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
nawewe umelijua hilo mkuu kumbe,basta raimz kwa kucheka tu mbona hana mpinzani JF
 
Hii "mitano tena" inabidi ipunguzwe, maana tunakoelekea tutaanza kufuatiliana na kupangiana hadi kuchamba mavi chooni.

Utasikia " mbona unachamba na maji kidogo hivyo" ukadhania watu wanakujali usishike mavi, kumbe stress tu.

Mavi ashike mwingine, kuyala uyale wewe.

Maendeleo hayana chama.
 
Nasikia ulimlia jamaa demu wake.
 
Bora nimpinge mtu kwa hoja kuliko kumuwekea DISLIKE siipendi kweli hii kitu. Na sijawahi kumuwekea yeyote humu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema mwanangu Extrovert, mchekaji mwenzangu, kuna thread mpaka za msiba nakutaga reaction yako ya kucheka, nabaki kushangaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…