Member wapenda kucheka ninaowajua ndani ya JF

Member wapenda kucheka ninaowajua ndani ya JF

Nilivyosoma tu kichwa nikajua Extrovert lazima kajadiliwa. Labda ni style yake tu. Ila kama ishu serious huwa anachangia kitu serious pia reaction si ishu sana😂😂
 
Nilivyosoma tu kichwa nikajua Extrovert lazima kajadiliwa. Labda ni style yake tu. Ila kama ishu serious huwa anachangia kitu serious pia reaction si ishu sana😂😂
nawewe umelijua hilo mkuu kumbe,basta raimz kwa kucheka tu mbona hana mpinzani JF
 
Hii "mitano tena" inabidi ipunguzwe, maana tunakoelekea tutaanza kufuatiliana na kupangiana hadi kuchamba mavi chooni.

Utasikia " mbona unachamba na maji kidogo hivyo" ukadhania watu wanakujali usishike mavi, kumbe stress tu.

Mavi ashike mwingine, kuyala uyale wewe.

Maendeleo hayana chama.
 
Naona maisha yako yamekuwa magumu sana kiasi kwamba umeamua kufuatilia ya wenzio mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Na uzuri leo nimeamka na furaha sana mkuu nakutaarifu tu nikuwa nacheka sana hapa nilipo baada ya kusubiria flight ya KLM ambayo ilikuwa very delayed hapo jana. Ila subira yangu haikuwa bure maana nina super classic pair ya ALDO, Very decent outfits kutoka kwa mabeberu huko naisubiria weekend kwa hamu nije kukunyoosha kokote unapotesekea hapa mjini [emoji23]!!!

Kenge ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nasikia ulimlia jamaa demu wake.
 
Bora nimpinge mtu kwa hoja kuliko kumuwekea DISLIKE siipendi kweli hii kitu. Na sijawahi kumuwekea yeyote humu.
Kuna member mwingine ukimtoa mkwepu jr yeye yupo kule jukwaa la siasa huyu member kazi yake ni kusambaza dislikes huyu jamaa simuelewagi kwake huko anaishije na familia yake,kitu pekee utachoona ka like ni habari ya mtu aseme Tundu Lissu atakua rais au ndio rais wa tz atakupa likes hata 100 ila nenda tofauti nae utaona.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema mwanangu Extrovert, mchekaji mwenzangu, kuna thread mpaka za msiba nakutaga reaction yako ya kucheka, nabaki kushangaa..
 
Back
Top Bottom