Me naongea kinyume sasa...wakaka walioweka avatar sura mbaya kiuhalisia ndo mahandsome sasa!
Sio kweli wee utakuwa HBSema kweli kama mimi nitakuwa kibwengo sio?
YeahUmeonaeeh kama mr Zero IQ hapa
Sio kweli wee utakuwa HB
Ila mkuu nasikia mahandsome mnawaogopa pia mnawakimbia kuna ukweli?Me naongea kinyume sasa...wakaka walioweka avatar sura mbaya kiuhalisia ndo mahandsome sasa!