Member wenye Sura mbaya JF

Member wenye Sura mbaya JF

Lead acid accumulator

Uliua ngap six ... Mwifwa
Nilifaulu kwa daraja la kwanza japo ni la kuchechemea.

Ukisikia jumla ya Idadi za Div One Kitaifa, moja ni yangu, ukiitoa ujue umepunguza mahesabu ya ufaulu katika mwaka husika
 
Nikifaulu kwa daraja la kwanza japo ni la kuchechemea.

Ukisikia jumla ya Idadi za Div One Kitaifa, moja ni yangu, ukiitoa ujue umepunguza mahesabu ya ufaulu katika mwaka husika
Unajipa faraja mkuu
 
Nilifaulu kwa daraja la kwanza japo ni la kuchechemea.

Ukisikia jumla ya Idadi za Div One Kitaifa, moja ni yangu, ukiitoa ujue umepunguza mahesabu ya ufaulu katika mwaka husika
Nipe siri za mafanikio

Mi ndo nipo six now ...

Nataka nipige ya tatu au nne
 
Sideal nao kabsa
Hakuna picha ya watoto wakale nimewahi post na ukakosa kulike dadeki unapenda sana chura wewe ,ila mwamba nikuambie kitu tuwatafune tu dunia yenyewe fupi hii.
 
Mbona unanipeleleza?? 😀 😀 😀 ...utakuwa handsome wewe lazima, I bet

Na kuna some clues unazitaka kwangu ukawachapie madadaz..haahaaa
[emoji1]hahahahhahaha,unakaribia kunishinda mkuu

ila hapana sina hayo,nia yangu nataka kufahamu tuu mkuu,
kwa hyo msaada wako tuu ili niweze kumalizia somo langu.naomba maringo yao yanafanania vipi
 
Back
Top Bottom