witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi na hauko sahihiMe naongea kinyume sasa...wakaka walioweka avatar sura mbaya kiuhalisia ndo mahandsome sasa!
Kwa sababu gani mkuu?Ila mkuu nasikia mahandsome mnawaogopa pia mnawakimbia kuna ukweli?
Kwa hyo yeye bila pesa sawa tuuKwa mwanaume uhandsome ni pesa peke yake. Mengine tunajichosha tu
Angalia PM vizuri.😀 😀 😀
Njoo uchukue accumulator hapa, tatizo litakuwa historia[emoji3][emoji3][emoji3]Mwenye chaja ya pini ndogo aniazime
simu yangu inaisha chaji
Am not so jumbly as how you thinkKama nakuona na lisura lako Machete mpka majirani wanaogopa kukuazima chaji
Haaahaaa...acha hizo wwAngalia PM vizuri.
Kwamba huwa wanakuwa na conpetition,pia mnawaogopa kwenye mahusiano kwa sababu baadhi yao wanakuwa mchepukoKwa sababu gani mkuu?
Lead acid accumulatorNjoo uchukue accumulator hapa, tatizo litakuwa historia[emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli angalia unakumbuka kipindi kile nakuomba maelekezo kuhusu ile Barua ya UN niliambatanisha picha.Haaahaaa...acha hizo ww
Ni kweli mkuu...ni Malaya sana, maringo, wabahili, hawajui kupetipetiKwamba huwa wanakuwa na conpetition,pia mnawaogopa kwenye mahusiano kwa sababu baadhi yao wanakuwa mchepuko
Mmmmmh ...lin?acha fix mkuuKweli angalia unakumbuka kipindi kile nakuomba maelekezo kuhusu ile Barua ya UN niliambatanisha picha.
Malaya hao balaa...binafsi sina hamuMa HB huwa wanawapanga kinoma mkuu
Basi nitakutumia Screenshoot.Mmmmmh ...lin?acha fix mkuu