witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Yupo humu ila sio kwa hilo jina tenaUyo anatakiwa tuzo kwakweli ana misimamo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo humu ila sio kwa hilo jina tenaUyo anatakiwa tuzo kwakweli ana misimamo sana.
Basi jamaa noma sana anaweza sana ku shape characters.Yupo humu ila sio kwa hilo jina tena
Vitunguu swaumucheap wasted sperm
Imbecile
[emoji23][emoji23][emoji1]
Huyu nilipewa me na Bibi kizee wa Jf...Habari
Mara nyingi watu hujifunza na kupata some exposure kutoka kwa mtu fulani na hasahasa mara nyingi watu huvutiwa na mengi kutoka kwa members wa JF, inaweza ikawa sio character halisi ya mhusika lakini akavutiwa tu na namna anaplay part kwenye platform
Je, ukipewa nafasi ya kumuuliza member yeyote wa jf, ungemchagua member yupi na ungemuuliza swali gani?
NB: Haimaanishi huyo member ni lazima ajibu hilo swali ni uamuzi wake pia ila akiweza anaweza kuja kujibu.
Mimi binafsi ningemchagua Miss Natafuta na ningemuuliza, je ameshampata yule aliyekuwa anamtafuta ?
Funga wewe mkuu ila mi siwezi maisha tu yashatufunga!😂😂😂Daah...
Tuendelee kufunga kwa Ajili yake
Behaviourist kwanini unapenda matraaaako sana....unataka sisi flat shuzi tukimbilie wapi??
Rafiki wale flat shuzi ukipiga chura zao yale makofi ya mahaba huwa wanaumia![emoji17][emoji17][emoji17]
😅😅Dadekiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]
Ulisema ili tupate ndoa ni sharti ninunue gariHapana siwezi kufurahi..
Na Je, kwanini ujinyonge..??
Shindwaaaa saaiitaaaani..!!Ulisema ili tupate ndoa ni sharti ninunue gari
Nimeenda kukopa lakini bado hunitaki na mama peter nimemchoka
Hahahah