Member yupi ungependa umuulize swali? Uliza aje akujibu

Member yupi ungependa umuulize swali? Uliza aje akujibu

Habari
Mara nyingi watu hujifunza na kupata some exposure kutoka kwa mtu fulani na hasahasa mara nyingi watu huvutiwa na mengi kutoka kwa members wa JF, inaweza ikawa sio character halisi ya mhusika lakini akavutiwa tu na namna anaplay part kwenye platform
Je, ukipewa nafasi ya kumuuliza member yeyote wa jf, ungemchagua member yupi na ungemuuliza swali gani?
NB: Haimaanishi huyo member ni lazima ajibu hilo swali ni uamuzi wake pia ila akiweza anaweza kuja kujibu.
Mimi binafsi ningemchagua Miss Natafuta na ningemuuliza, je ameshampata yule aliyekuwa anamtafuta ?
Huyu nilipewa me na Bibi kizee wa Jf...

Nilipomganda sana akanipa Mjukuu wake
 
@Miss Renee lini utakujambugani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom