JamiiForums demu wa mtu wewe....shauri yako. Hauogopi ban?Mimi na JamiiForums
Ni demu wetu sio demu wa mtu mmojaJamiiforums demu wa mtu wewe....shauri yako. Hauogopi ban?
Sasa kuna mmoja humu namzimikia tatizo sijui kama ni mwanamke kweli ndio maana navunga... PM nayo kafunga sijui ana mkosi ganiBasi nyie sio couple....moja ya tabia za strong and unshakable couple ni wivu.
Kama mnamshare hakuna couple ya nguvu hapo.
Yesuuuuuuuuuuu π€£π€£
ningemtaja wako, sema acha ninyamaze tu, demu tomboy π π πMungu nifundishe kunyamaza