Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Kwani GENTAMYCINE mwenyewe anasemaje???
Nenda duka la vinywaji lililopo karibu yako, chukua kinywaji chochote unachotaka ntakuja kulipa 😅😅
Nimewapa baraka zote🤣
Hehee
Imebidi Kwanza nisome profile na nyuzi za huyo jamaa,.
🤣🤣🤣Nenda duka la vinywaji lililopo karibu yako, chukua kinywaji chochote unachotaka ntakuja kulipa 😅😅
Hongera sana kwa kupata mwenza,Imebidi Kwanza nisome profile na nyuzi za huyo jamaa,.
Hakika tunaenda a😃😃😃🍻
Tuanzishe jukwaa la kuungajisha wana JF, kutengeza serious couples ambazo zitaishia kuwa ni unbreakable companionMimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?
Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].
Mzee mwenzangu FF 😄
umeona ujichagulie au sio
Unamkosea sana mzabzab Mzee wa mbususu kumuunganisha na huyo upindeMimi naona ni BICHWA KOMWE - na mzabzab , couple ya moto kabisa, yani kama star fish kabisa.