Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Alafu mnapanga kwenda kukulana kumbe unaenda kuchezea kifiro 😆Tatizo kuna midume inayoenda kama mijike humu na kuna watu wana ID mbili za jinsia tofauti.
Usipokuwa makini unaweza jikuta unaunda couple ya midume miwili au kuunda couple ya mtu mmoja.