Members na nyuzi zao pendwa

Kuna member anaitwa myoyambendi kule uzi wa likes, yeye ni mwendo wa kutoa pole kwa watafutaji wote. Utasikia; poleni wakulima, poleni madereva bodaboda, poleni walimu nk nk. Yaani kada zote zitapewa pole halafu ni kila siku.
Jamaa huwa ananifurahisha sana.
 
Mimi huwa naona yeye ndiye anaongoza list ya watu wenye post nyingi jf halafu cha kushangaza sijawahi kuona comment yake popote pale humu ndani ya jf, nikawa najiuliza hii inawezekanaje?
Kumbe amejifungia kwenye uzi wake huko the palace.
Huyu jamaa ana Ikulu yake Chatoni mwake kama Lukum tuwe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…