Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Sijawahi ufungua huo uzi ila huwa nauona unapepea sana nkajua wajuba huwa mnachangia sana humohuyo jamaa hajali mnasoma au hamsomi yeye anaandika tu
..................................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi ufungua huo uzi ila huwa nauona unapepea sana nkajua wajuba huwa mnachangia sana humohuyo jamaa hajali mnasoma au hamsomi yeye anaandika tu
Kasahau kukuweka kwenye nyuzi za kumponda Nassibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeee
[emoji28][emoji28] sure mkuuKasahau kukuweka kwenye nyuzi za kumponda Nassibu
kush na Wisdom
Kweli kabisa😂😂😂😂😂😂huyu member @Robidinyo -nyuzi mbaya kuhusu diamond na WCB kwa ujumla
Ana nyuzi nyingi sana za namna hiyo huyu mshabiki wa mfalme juha [emoji23]Kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana karibu comment 39k zote za mtu mmoja.
Sasa hivi kafungua mwingine anajicomentia tu wala hana habari.Noma sana karibu comment 39k zote za mtu mmoja.
hatar sanaSasa hivi kafungua mwingine anajicomentia tu wala hana habari.
Anaitwa Rutashubanyuma hakuna kiumbe kama yeye hapa jf, uzi wake una comments zaidi ya 4k alafu more than 90% ya comments ni zake.Kuna jamaa nimemsahau jina ana huo uzi wake karibia comments zote ni zake, anapost balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajiongelesha mwenyewe.Anaitwa Rutashubanyuma hakuna kiumbe kama yeye hapa jf, uzi wake una comments zaidi ya 4k alafu more than 90% ya comments ni zake.
Yaani ile ni character ya aina yake walah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaitwa Rutashubanyuma hakuna kiumbe kama yeye hapa jf, uzi wake una comments zaidi ya 4k alafu more than 90% ya comments ni zake.