Halafu anaandikaga nondo tuuDaaah!! Haki huwa nacheka nawaza hivi huyu mtu anawaza nini?
NI kweli jamaa Kuna nyuzi huwezi kumkosaWapi Zero IQ na nyuzi zake zile..[emoji4][emoji4]
Labda amehamia jukwaa jingineKuna jamaa miaka ya 2016/17 alikuwa anaitwa Red Scorpion alikuwa anakaa jukwaa la picha tu. Siku hizi simuoni kabisa sijui alienda wapi.
Sim mkuu
Ok,naona wataalam walikupa ABC,kwa nyongeza Kuna app inaitwa Videoder ni babalaoSim mkuu
😂😂😂😂.....dah huu Uzi nilikua nauonaga mara nyingi halafu naogopa hata kuingia nikijua kuna hot discussion, kumbe 99% ni comments za mtu mmoja
😂😂😂😂😂😂😂😂😂.....dah huu Uzi nilikua nauonaga mara nyingi halafu naogopa hata kuingia nikijua kuna hot discussion, kumbe 99% ni comments za mtu mmoja
Hakika.Halafu anaandikaga nondo tuu
Ako na juhudi za kutosha.Na uzi uko na page kama zote
Ahsantee mkuu nmesaidika shukranOk,naona wataalam walikupa ABC,kwa nyongeza Kuna app inaitwa Videoder ni babalao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niujaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....dah huu Uzi nilikua nauonaga mara nyingi halafu naogopa hata kuingia nikijua kuna hot discussion, kumbe 99% ni comments za mtu mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna member anaitwa myoyambendi kule uzi wa likes, yeye ni mwendo wa kutoa pole kwa watafutaji wote. Utasikia; poleni wakulima, poleni madereva bodaboda, poleni walimu nk nk. Yaani kada zote zitapewa pole halafu ni kila siku.
Jamaa huwa ananifurahisha sana.
Ruta is Something else itakuwa upstairs yuko vizuri muda huo huo anashangaza piaFuatilia vizuri, huwa anaanzisha mada ndani ya uzi wake na kuivunja vunja katika post fupi fupi...huko huwa anaukaanga sana utawala wa awamu ya Chattle....huwa ana refer vifungu vya bible sana pia
Sent using Jamii Forums mobile app