Members na nyuzi zao pendwa

Members na nyuzi zao pendwa

Kuna member anaitwa myoyambendi kule uzi wa likes, yeye ni mwendo wa kutoa pole kwa watafutaji wote. Utasikia; poleni wakulima, poleni madereva bodaboda, poleni walimu nk nk. Yaani kada zote zitapewa pole halafu ni kila siku.
Jamaa huwa ananifurahisha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fuatilia vizuri, huwa anaanzisha mada ndani ya uzi wake na kuivunja vunja katika post fupi fupi...huko huwa anaukaanga sana utawala wa awamu ya Chattle....huwa ana refer vifungu vya bible sana pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruta is Something else itakuwa upstairs yuko vizuri muda huo huo anashangaza pia

The only thing to fear is fear itself
 
Back
Top Bottom