Members na nyuzi zao pendwa

Members na nyuzi zao pendwa

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Habarini wakuu,
Kama title ilivyo clear, Kuna members fulani huwezi kuwakosa kwenye nyuzi fulani wanazozipendelea na mara nyingi utawaona kuchangia na au kuanzisha nyuzi zinazofanana na hizo,ila tupo wengine ni kambi popote
1 Numbisa - Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like" - JamiiForums
2 kcamp - Fahamu jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2 - JamiiForums
Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako - JamiiForums
3 huyu member Robidinyo -nyuzi mbaya kuhusu diamond na WCB kwa ujumla
Tetesi za Rayvany Kusepa Wasafi zinazidi kufukuta - JamiiForums
4
5
6
Ukweli ulioambatana na utani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na sidhani kama huwa anachangia post zingine zaidi ya hiyo.
Mimi huwa naona yeye ndiye anaongoza list ya watu wenye post nyingi jf halafu cha kushangaza sijawahi kuona comment yake popote pale humu ndani ya jf, nikawa najiuliza hii inawezekanaje?
Kumbe amejifungia kwenye uzi wake huko the palace.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaona isiwe taabu, anajipostia tu kwenye uzi wake na hana habari.
 
Back
Top Bottom