sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Wewe nikitaka kukupata nakupata kwenye uzi wa selfika wa mshana.Duuuuh!!
komesha korona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nikitaka kukupata nakupata kwenye uzi wa selfika wa mshana.Duuuuh!!
Aiseeh!!Wewe nikitaka kukupata nakupata kwenye uzi wa selfika wa mshana.
komesha korona
Kumbe, sema mi mambo ya mpira pia sio mpenzi basi ndo maana sikueahi kukutana naye mahali.
Hakika, Yeye amejikita kwenye huo uziAaron Arsenal kule the gunners camp, much respect buddieeh kwa kutupa maupdate ya timu yetu ARSENAL FC[emoji16][emoji1535]
TrueMimi namuelewa sana jamaa. Huwa hapost pumba hata moja ni points tu. Bora huyo kuliko anaepost upupu ili apate likes.
Ha ha ha asiwe robot lakiniKuna member anaitwa myoyambendi kule uzi wa likes, yeye ni mwendo wa kutoa pole kwa watafutaji wote. Utasikia; poleni wakulima, poleni madereva bodaboda, poleni walimu nk nk. Yaani kada zote zitapewa pole halafu ni kila siku.
Jamaa huwa ananifurahisha sana.
Si kweli.
Nahisi kuwa sio robot bhana maana huwa anachat pia kimtindo.
Bas Ana hatari jamaaNahisi kuwa sio robot bhana maana huwa anachat pia kimtindo.
NI kweli, ahsante kwa kunikumbusha
Pamoja[emoji28][emoji25][emoji23][emoji23]NI kweli, ahsante kwa kunikumbusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uzi uko na page kama zoteNdio auntie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nachekaga, na hachoki.