DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 676
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]Ni maroboti kweli hayo.[emoji1787]
Huendi mbinguni nakwambiaNamba mbili itakuwa kakuroga na dawa imekolea kwelikweli..[emoji28]
Mzimu unaendaje mbinguni..?Huendi mbinguni nakwambia
Jr[emoji769]
na nyie walozi mna safari ya mbinguni kama sisi ?Huendi mbinguni nakwambia
Jr[emoji769]
Sisi ndio wa kwanza
Usifikiri na wewe hautaenda labda ubadilishe njia lkn ukiendelea hiviMotoni
Jr[emoji769]
mkuu mbona unamtia aibu mzee wetu kigagula huku jamvini ? ona sasa umeleta balaa na kurusha picha zake akiwa kazini. hahahahahahahUsifikiri na wewe hautaenda labda ubadilishe njia lkn ukiendelea hiviView attachment 1449894
Pepo utaisikia tu..
Tunajua mambo yako na hapo ulikutana na kikwazo mambo yakawa mambo.. hata hivyo usihofu najua ni ajali kazini ila peponi utapasikia tu!
Anasema mi nitaenda motoni sijui kajisahau yeye mambo yake mbalimbali!..mkuu mbona unamtia aibu mzee wetu kigagula huku jamvini ? ona sasa umeleta balaa na kurusha picha zake akiwa kazini. hahahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji124][emoji124][emoji124]Usifikiri na wewe hautaenda labda ubadilishe njia lkn ukiendelea hiviView attachment 1449894
Pepo utaisikia tu..
Tunajua mambo yako na hapo ulikutana na kikwazo mambo yakawa mambo.. hata hivyo usihofu najua ni ajali kazini ila peponi utapasikia tu!
Worry OutDIDAS TUMAINI ninashukuru sana kwa kunikubali mkuu. Ila ninaomba pia mnikosoe pale ninapokosea na kuenda kinyume kwa maana mimi pia ni binadamu sijakamilika kwa 100%