Members ninao wakubali sana hapa JF

Members ninao wakubali sana hapa JF

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
242
Reaction score
676
Motoni

Jr[emoji769]
Usifikiri na wewe hautaenda labda ubadilishe njia lkn ukiendelea hivi
1459309_645823105455673_85647399_n.jpg

Pepo utaisikia tu..

Tunajua mambo yako na hapo ulikutana na kikwazo mambo yakawa mambo.. hata hivyo usihofu najua ni ajali kazini ila peponi utapasikia tu!
 
Usifikiri na wewe hautaenda labda ubadilishe njia lkn ukiendelea hiviView attachment 1449894

mkuu mbona unamtia aibu mzee wetu kigagula huku jamvini ? ona sasa umeleta balaa na kurusha picha zake akiwa kazini. hahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema mi nitaenda motoni sijui kajisahau yeye mambo yake mbalimbali!..
Namkumbusha tu asizani hatumjui tunamjua ila tunafutika tu kombe ili mwanaharamu apite!..

Hapo alikutana na wenye nchi..😂
 
Usifikiri na wewe hautaenda labda ubadilishe njia lkn ukiendelea hiviView attachment 1449894

Pepo utaisikia tu..

Tunajua mambo yako na hapo ulikutana na kikwazo mambo yakawa mambo.. hata hivyo usihofu najua ni ajali kazini ila peponi utapasikia tu!
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom