DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 676
Kwa muda huu mfupi niliojaliwa kuwepo hapa JF, kuna members wachache sana nimetokea kusoma nyuzi zao na kuzikubali saana..
Nao ni kama ifuatavyo, na wewe taja wa kwako.
1. Habibu B. Anga
2. Mshana Jr
3. Da vinci
4. Infantry Soldier
5. zitto junior
Hawa jamaa huwa napendaga sana kusomaga nyuzi zao, i wish one day nikutane nao. Isije kuwa ni maroboti.
Sent using Jamii Forums mobile app