Kwani hivyo vichwa havijihusishi na mambo ya mahusiano na urafiki na hata....?Vichwa Vikubwa Haviwazi MMU, Huko tuwaachie Kina Nyie..
Hahahhh NAHUJA buaanaKuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.
Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
Mtu hapangiwi cha kufanya wala kuwazaKuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.
Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
Sasa jukwaa la kule sisi ambao hatumo litatusaidia nini?Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.
Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
πππππππππππWanaofuatilia sana siasa huwa hawana nguvu za kiume.
Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.
Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
haNaona umemfatilia sana hadi ukamwambia
Nafatilia hatua zako.. maana jana nilikutag sehem ghafla jamaa mmoja akanihoji mbona nakufatilia sana na kukuita kila sehemhahahahaha
ha
heee nani huyo alikuuliza?Nafatilia hatua zako.. maana jana nilikutag sehem ghafla jamaa mmoja akanihoji mbona nakufatilia sana na kukuita kila sehem