Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.
Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.