Members nyie, siku moja moja basi muweke thread za...

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.

Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
 
Hahahhh NAHUJA buaana
Wamekusikia best
Nasi tutakuwa wachangiaji wazuri kwenye hayo majukwaa

Siasa inanoga zaidi twahitaji kuikomboa nchi yetu nasi tutakombolewa then tutafurahia maisha ya MMU ....just kidding
 
Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.

Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
Mtu hapangiwi cha kufanya wala kuwaza
 
Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.

Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
Sasa jukwaa la kule sisi ambao hatumo litatusaidia nini?

Hilo jukwaa lipo kibaguzi.

Tatizo la threads za siasa nazo ni matokeo ya comments zetu.
Kutekwa kuko nje nje.
 
Naona umemfatilia sana hadi ukamwambia
Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.

Yaani kutwa anaweka hata thread 7 lakini ni mambo ya siasa tu. Hebu wekeni na zingine na mambo ya MMU, au hata jukwaaa lileeeeeeeeeeeeeee kama na nyie mmeungwa kule.
 
Nafatilia hatua zako.. maana jana nilikutag sehem ghafla jamaa mmoja akanihoji mbona nakufatilia sana na kukuita kila sehem
heee nani huyo alikuuliza?
Hebu ni tagi hiyo comment ya huyo mtu aliyekutolea povyu
 
Back
Top Bottom