muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Huu uzi umenichekesha kweli hadi nikatokwa machozi! Wadau wametoa majibu mjarabu kabisa kwa mleta mada hadi raha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli mod wa jf wazembe yaani huu upuuzi mpaka leo bado upo ,yaani wazembe lama serikali ya ccm
tatizo la jf siku hizi ilipopata umaarufu wa kutajwa had I Bungeni n had I wampum.bav wakaifaham. sasa unatuambia badoo unadhani sie wageni I hatuufaham mtandao huo au none sense skuhz naona mods wamekuwa wajasiria Mali WAPO busy hawaon humu ndo mana ,mda mwingne nibora nikeshe f b kuliko kuingia humu kuna mautumbo ya kutosha kunakera sometimes
Alafu huko badoo nilijiunga nikajitoa mwenyewe!kuna mashoga kibao kwenye huo mtandao