Members wa badoo nani anamjua "sisemi jina"

Members wa badoo nani anamjua "sisemi jina"

Huu uzi umenichekesha kweli hadi nikatokwa machozi! Wadau wametoa majibu mjarabu kabisa kwa mleta mada hadi raha!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
kweli mod wa jf wazembe yaani huu upuuzi mpaka leo bado upo ,yaani wazembe lama serikali ya ccm
 
tatizo la jf siku hizi ilipopata umaarufu wa kutajwa had I Bungeni n had I wampum.bav wakaifaham. sasa unatuambia badoo unadhani sie wageni I hatuufaham mtandao huo au none sense skuhz naona mods wamekuwa wajasiria Mali WAPO busy hawaon humu ndo mana ,mda mwingne nibora nikeshe f b kuliko kuingia humu kuna mautumbo ya kutosha kunakera sometimes
 
kilichokuleta huku nini? rudi fesi buku!
 
Alafu huko badoo nilijiunga nikajitoa mwenyewe!kuna mashoga kibao kwenye huo mtandao

Uko sahihi mkuu, kunasikitisha sana, vijana wadogo kabisa wakitanzania wanajinadi ushoga wao tena wanaweka picha zao kabisa, ilinibidi nijitoe tu maana nilipandwa na ghadhabu Kali sana.
 
Back
Top Bottom