Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'




Sasa mtu anayemchukia mwenzake bila sababu ,umwite jina gani?

Kuna watu humu wakipewa sumu wakamwekee Kiba,diamond ,kidoti etc unadhani watashindwa?

Hakuna jina linalowafaa zaidi ya hilo.

Tena utakuta huyo unayemchukia hata hakujui!!

Kingine ni stress tu za life,mtu amesota mashuleni huko miaka kibao bado bila bila,akipata job ana amka saa10 alfajiri a naenda kushika bomba kwenye daladala ,kurudi saa5 usiku!!

Sasa mtu kafika form four tu ,kaimba nyimbo 2 jukwaani ana m kadhaa!! Chuki lazima ziwepo tu!!!

Au sio Muuza Sura.
 
Last edited by a moderator:

Don Corleone is a fictional character.
 

vijana wote wa kitanzania ni wanga wana wivu sana wakiona mwenzao katoboa kimaisha wana anza kumchukia bila sababu,hasa kwa vijana wanao ishi dar!!
 
Hili la kumchukia mtu kisha unaulizwa kwanini unamchukia? kakukosea nini? unajibu sina sababu ya msingi ila simpendi tu. huo nao ni uchawi na vijana wengi wanaangamia hapo mafanikio ya mtu yanakuuguza. Waanza kusema siwezi kununua rav 4 eti za mabint waqt kwenu mtu wa mwisho kumiliki chombo cha usafiri alikuwa marehemu babu yako alikuwa na avon baiskeli huo nao ni UCHAWI
 

Hahaha duuh
 

Ahsante sana mkuu
 
Sio kosa lao
 

Attachments

  • 1424501628698.jpg
    30.6 KB · Views: 173
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…