Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
- #41
Humu humu ndani kwa ndani watu hawakawii kuitana kilaza, mbulula, pimbi, kinabo, honongo, au aunatumia masaburi kufikiri au kutajwa kiungo cha siri cha mzazi wa kike ambacho nae kapitia (kama sio oparesheni) Great thinkers hatuwezi kueleweshana pasipo kutukanana? huo pia ni UCHAWI.
Sasa mtu anayemchukia mwenzake bila sababu ,umwite jina gani?
Kuna watu humu wakipewa sumu wakamwekee Kiba,diamond ,kidoti etc unadhani watashindwa?
Hakuna jina linalowafaa zaidi ya hilo.
Tena utakuta huyo unayemchukia hata hakujui!!
Kingine ni stress tu za life,mtu amesota mashuleni huko miaka kibao bado bila bila,akipata job ana amka saa10 alfajiri a naenda kushika bomba kwenye daladala ,kurudi saa5 usiku!!
Sasa mtu kafika form four tu ,kaimba nyimbo 2 jukwaani ana m kadhaa!! Chuki lazima ziwepo tu!!!
Au sio Muuza Sura.
Last edited by a moderator: