Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'

Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'

Humu humu ndani kwa ndani watu hawakawii kuitana kilaza, mbulula, pimbi, kinabo, honongo, au aunatumia masaburi kufikiri au kutajwa kiungo cha siri cha mzazi wa kike ambacho nae kapitia (kama sio oparesheni) Great thinkers hatuwezi kueleweshana pasipo kutukanana? huo pia ni UCHAWI.

Sasa mtu anayemchukia mwenzake bila sababu ,umwite jina gani?

Kuna watu humu wakipewa sumu wakamwekee Kiba,diamond ,kidoti etc unadhani watashindwa?

Hakuna jina linalowafaa zaidi ya hilo.

Tena utakuta huyo unayemchukia hata hakujui!!

Kingine ni stress tu za life,mtu amesota mashuleni huko miaka kibao bado bila bila,akipata job ana amka saa10 alfajiri a naenda kushika bomba kwenye daladala ,kurudi saa5 usiku!!

Sasa mtu kafika form four tu ,kaimba nyimbo 2 jukwaani ana m kadhaa!! Chuki lazima ziwepo tu!!!

Au sio Muuza Sura.
 
Last edited by a moderator:
Unamjua Corleone original!?!

Hivi kuna mtu ababonga kingoni humu ndani kama mimi!!!

Hamis ni mngoni kwani!!!

Kwenye ile thread ya hemed kivuyo,niliambiwa mimi ndo kivuyo!!

JMAll Wewe ndo uliniita Edo kumwembe !?

So mimi ni Fa,kivuyo na Edo kwa wakati mmoja!!

Kuna members kama 20 hivi wananifahamu physical, wengi hawashindi hili Jukwaa.!!

Don Corleone is a fictional character.
 
Ukitaka kuamini uchawi upo, Wewe soma Uzi wowote unaohusu mafanikio ya celebrity yeyote wa Tanganyika. Hapo ndo utawaona wanavyocoment!!

Akinunua range utasikia, Aah labda angenunua Bentley, akijenga Bunju, utasikia ah bora angejenga Masaki. Mtu akienda kwa Obama utasikia hela za 'sembe' hizo.

Why so much hate? Why unamchukia, Diamond au Ally Kiba? Hawa Si wanatumia vipaji vyao kuondokana na umaskini?

Why, Why, Why? Roho mbaya yako imekusaidia nini toka uanze kuitumia?

Kwa chuki zinazooneshwa na members humu kwa vijana wenzetu, lazima hata wauaji wa Albino inawezekana ni members wa kudumu humu.

Support vya nyumbani, chuki haijengi.

Na wakusikia na asikie..

DC,
Namtumbo, Ruvuma
Tanganyika.

vijana wote wa kitanzania ni wanga wana wivu sana wakiona mwenzao katoboa kimaisha wana anza kumchukia bila sababu,hasa kwa vijana wanao ishi dar!!
 
Hili la kumchukia mtu kisha unaulizwa kwanini unamchukia? kakukosea nini? unajibu sina sababu ya msingi ila simpendi tu. huo nao ni uchawi na vijana wengi wanaangamia hapo mafanikio ya mtu yanakuuguza. Waanza kusema siwezi kununua rav 4 eti za mabint waqt kwenu mtu wa mwisho kumiliki chombo cha usafiri alikuwa marehemu babu yako alikuwa na avon baiskeli huo nao ni UCHAWI
 
Hahaha duuh
 
Ahsante sana mkuu
 
Sio kosa lao
 
Attachments

  • 1424501628698.jpg
    1424501628698.jpg
    30.6 KB · Views: 173
Back
Top Bottom