Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Nautafuta huo uzi siupatii nilichekaa balaaaa
Unakuta mtu anabakia kuponda wakati hana hata kitu
SAMAHANI: Toka uzi uanzishwe washakamatwa wachawi wangapi tafadhali?
kuna mchawi wa diamond no moja kule insta, ana wiki sasa hajaloga, kuulizwa eti nimekatazwa na boss wangu kumbe MB8