Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Nautafuta huo uzi siupatii nilichekaa balaaaa
huko Insta ile inshu ya chege na kitambaa cheusi mkononi UDAKUZ wameuliza hivi ingelikuwa ni diamond reaction ya watu ingekuwaje, majibu yake nimecheka mpaka mbavu zikaniuma