Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'

Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'

Unakuta mtu anabakia kuponda wakati hana hata kitu

lakini kwa hizi MB8 tutegemee mabadiliko makubwa, mtu akijitahidi sana ni one comment tena fupi na two likes, anakuwa off line tena automatic
 
Ok sawa..
 

Attachments

  • 1424637842272.jpg
    1424637842272.jpg
    40.7 KB · Views: 67
kuna mchawi wa diamond no moja kule insta, ana wiki sasa hajaloga, kuulizwa eti nimekatazwa na boss wangu kumbe MB8
 
Back
Top Bottom