Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Ukitaka kuamini uchawi upo, Wewe soma Uzi wowote unaohusu mafanikio ya celebrity yeyote wa Tanganyika. Hapo ndo utawaona wanavyocoment!!
Akinunua range utasikia, Aah labda angenunua Bentley, akijenga Bunju, utasikia ah bora angejenga Masaki. Mtu akienda kwa Obama utasikia hela za 'sembe' hizo.
Why so much hate? Why unamchukia, Diamond au Ally Kiba? Hawa Si wanatumia vipaji vyao kuondokana na umaskini?
Why, Why, Why? Roho mbaya yako imekusaidia nini toka uanze kuitumia?
Kwa chuki zinazooneshwa na members humu kwa vijana wenzetu, lazima hata wauaji wa Albino inawezekana ni members wa kudumu humu.
Support vya nyumbani, chuki haijengi.
Na wakusikia na asikie..
DC,
Namtumbo, Ruvuma
Tanganyika.