Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'

Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Ukitaka kuamini uchawi upo, Wewe soma Uzi wowote unaohusu mafanikio ya celebrity yeyote wa Tanganyika. Hapo ndo utawaona wanavyocoment!!

Akinunua range utasikia, Aah labda angenunua Bentley, akijenga Bunju, utasikia ah bora angejenga Masaki. Mtu akienda kwa Obama utasikia hela za 'sembe' hizo.

Why so much hate? Why unamchukia, Diamond au Ally Kiba? Hawa Si wanatumia vipaji vyao kuondokana na umaskini?

Why, Why, Why? Roho mbaya yako imekusaidia nini toka uanze kuitumia?

Kwa chuki zinazooneshwa na members humu kwa vijana wenzetu, lazima hata wauaji wa Albino inawezekana ni members wa kudumu humu.

Support vya nyumbani, chuki haijengi.

Na wakusikia na asikie..

DC,
Namtumbo, Ruvuma
Tanganyika.
 
na wanapenda kuongea issues ambazo na negative mda mwingi tafikiri hao wasanii hawana mazuri. kuna cku niliona post ya kidoti kuhusu game alilolizindua duu watu wakaanza kuponda.lkn lile jukwaa tecnolojia ni facts tu.
 
Umepaniki kisa wamesemwa vibaya AY na MwanaFA? teh teh we jamaa una mahaba niue na hao watu. Diamond daily anapondwa humu ila hukuibuka na post ya kumtetea,ila leo umeibuka na post hii kisa wamekupondea AY wako doh...pole sana!
 
Trollers will always be there
 
Teh Teh umenikumbusha uzi wa Mike Mushi watu walituhumiana ni wachawi.
cc Jestina

Hahahaaaaa hivi kwa kiinglishi mchawi ni nani???witch ama wizard???jamaa alimkomalia mwenzie ni wizard na ushahidi anao hahahahaaaaàaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa hivi kwa kiinglishi mchawi ni nani???witch ama wizard???jamaa alimkomalia mwenzie ni wizard na ushahidi anao hahahahaaaaàaaaaaa

Teh Teh Dr manyau nyau ana hitajika.
 
Umepaniki kisa wamesemwa vibaya AY na MwanaFA? teh teh we jamaa una mahaba niue na hao watu. Diamond daily anapondwa humu ila hukuibuka na post ya kumtetea,ila leo umeibuka na post hii kisa wamekupondea AY wako doh...pole sana!

Teh Teh kwani ni kweli kuna wachawi humu?
 
Back
Top Bottom