Members wa JF bwana!!!!

Miss hiyo story umefupisha sana!
 
Miss hiyo story umefupisha sana!
 
Ha ha huyo simtaki
 
Huwa naona ila namshukuru M'Mungu sinaga tabia ya kutilia manani sifa za maandishi ya watu humu jf mi napenda nimuone mtu live anitetemeshe ndio hapo nampa heshima.

Ila kimitandaoni huwa nawasoma kimya kimya wale wanaojitapa halafu nawapotezea.
Uko kama mimi aisee kwa maana unaweza ukakuta kile anachotype nyuma ya keyboard ni tofauti na maisha halisi
 
Hii reseach yako umeifanya kuanzia lini
 
Uko kama mimi aisee kwa maana unaweza ukakuta kile anachotype nyuma ya keyboard ni tofauti na maisha halisi

Nilichogundua walio wengi ni wepesi wa kusahau wanavyokuwa wameviandika nyuma na sa sijui wanakuwa hawajui kama tulio wengi tunaona.

Ila kiukweli mwanzoni kaka nilipata sana shida ila sasa hivi. Akaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…