Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Pamoja mkuuNi kweli Mndali umenena sawa sawia aisee
Mengine humu ukisoma unaona hayakuhusu unayapitia mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuuNi kweli Mndali umenena sawa sawia aisee
Hilo ndo jibuIla sishangai maana ni sehemu ya makutano ya wengi na wenye akili tofauti tofauti
Sawa sakayoHilo ndo jibu
Inamaana unapenda matanuzi kuliko maisha yako halisiNipe shoga yangu maana kama nyumba ina gym bila shaka hata kaunta ya vinywaji vikali itakuwepo na mie huo ndio ugonjwa wangu hahahahahah
Mie mwenzio pombe inanimalizia sana muda wangu, hahahahahahahah. Nialike nije Ileje kunywa pombe huko hahahahaInamaana unapenda matanuzi kuliko maisha yako halisi
Natania tu
Karibu ileje ila huku pombe yetu ni ya asili tu karibu utampitia na sakayoMie mwenzio pombe inanimalizia sana muda wangu, hahahahahahahah. Nialike nije Ileje kunywa pombe huko hahahaha
Yaani ni raha mtanihahahahahaha, JF raha sana sitoki ng'oooo
.....[emoji3] ame-refer interview yako ya ku-do for sake of money[emoji13]angekuwa amenibandua nisingesema hapa mkuu
Iko mkoa mpyaSakayo kuna mwaliko wa kwenda Mbeya/Songwe.
Hivi Ileje ilibaki Mbeya au iko mkoa mpya wa Songwe?
Mshahara wa mwezi SeptemberNikwambie varangati, hata sasa jaribu kupitia "siledi" ambazo zinaulizia mshahara kama umetoka, hahahaha huko ndio utapata jibu! kila mtu kajiajiri anawashangaa wanaoulizia mshahara, haahahahah
Hata mi nashangaa watu wanauliza humu mshahara badala ya kumuuliza mwajiri wake
kazi kwelikweli..ni vyema wakasubiri kwa maana mwisho wa mwezi kwa maana ndio unakaribia au wanaanzaga kupewa tarehe 21, 22,23,24 25 au??Hata mi nashangaa watu wanauliza humu mshahara badala ya kumuuliza mwajiri wake
Wafanyakazi wa sasa ni waoga sana mi siku ya mshahara ikifika naenda ofisini kudai sijawahi kuuliza mtu maana najua boss lazima ajue wajibu wake kwangukazi kwelikweli..ni vyema wakasubiri kwa maana mwisho wa mwezi kwa maana ndio unakaribia au wanaanzaga kupewa tarehe 21, 22,23,24 25 au??
ukitaka kujua wanaume wa Dar anzisha uzi wa kuwakandia uone watakavyokuandamaHahaha... Yaani huku sifa ni kujisifia....umesahau kitu kimoja WANAUME WA HUKU WOTE WANAJISIFIA KUWA WANA DUSHE/HOGO KUBWAA....huku hakuna mtu ana admit kuwa yeye ni mwanaume wa dar....teh teh teh
Aisee kumbe..uvumilivu wengine wamekosaWafanyakazi wa sasa ni waoga sana mi siku ya mshahara ikifika naenda ofisini kudai sijawahi kuuliza mtu maana najua boss lazima ajue wajibu wake kwangu