Members wa JF bwana!!!!

Members wa JF bwana!!!!

Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).

WanaJF Bwana!
Unauhakika na hayo ulosema??
 
nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Nani huyo na mie nimtembelee, hahahahahahaahh
 
Yaani humu bhanaa kama huna moyoo utajuta... Huwa najuaga mie mwenyewe ndo nagombania matatu!!! Maana humu kila mtu anagari hao wa Chiini saaana wapo wenye Meli humuu!!!!
hahahahaah, Sakayo hahaha, ni kweli ukiona "siledi" inazungumzia matatizo ya traffic basi kila mtu alishapamba na hali hiyo akiwa anaendesha gari, kusumbuliwa na traffic hahahahahahaa
 
nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia

hongera ulibahatika kumvulia chupi?
 
Back
Top Bottom