Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto

Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto ,kwa mada zilizopo sasa🤣🤣

Hahaha ngoja nifurahi kidogo nikishushia na funda la bia😅.

Nimekuwepo humu toka 2012, kwa mara yangu ya kwanza , ila nakuta members wa 2015 ana laumu mchango wa JF wa gen z😅.


Tofauti na yanayooonekana ni upumbavu sasa na upumbavu wa zamani ni vibe la wale wapumbavu wa kale limeshuka tu kwa sababu ya uzee.


Kitu cha tofauti nilicho kiona tu kwa hizi generations ni gen z kupost kinachoitwa upumbavu kwenye majukwaa ya siyo husika na upumbavu na upumbavu wao ,ila upumbavu ni ule ule bora hata wa sasa ERoni
 
Back
Top Bottom